JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Majaliwa :Nendeni mkasimamie ajenda za kitaifa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Wilaya nchini wakasimamie ajenda za kitaifa ikiwemo ya mapambano dhidi ya rushwa. Amewataka pia wasimamie changamoto za upatikanaji wa ajira, kudhibiti vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto, kusimamia uoto wa asili…

Mama Janeth Magufuli atoa msaada kwa wanafunzi

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, uongozi wa wilaya katika picha ya kumbukumbu na wawakilishi wa watu wenye ulemavu waliokabidhiwa baiskeli za magurudumu…

Mabula awataka Ma-DC kuanzisha rejista ya migogoro ya ardhi

Waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula amewataka Wakuu wa Wilaya nchini kuhakikisha kila Halmashauri inakuwa na rejista ya migogoro ya ardhi ili kujua chanzo chake pamoja na mikakati ya utatuzi wa migogoro hiyo kila inapojitokeza….

Bashe awaita wawekezaji kuja Tanzania

Na Mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewakaribisha wawekezaji kutoka katika maeneo mbalimbali duniani kuja kuwekeza kwenye kilimo na kuahidi kuwa Serikali itatoa ardhi na kuweka mazigira bora. Bashe ameyasema leo Machi 17, 2023 Ikulu jijini Dar…

Tanzania iko tayari kulisha Dunia

Na Wilson Malima, JAMHURI MEDIA Kwa mujibu wa takwimu kutoka Benki ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Kilimo, Tanzania imeongeza mauzo ya nje ya chakula mwaka hadi mwaka, huku chakula hicho kikiuzwa nchi za Afrika Mashariki, Kusini mwa Afrika, Pembe…