JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Askari wa akiba wa Urusi hawana silaha wapigana kwa koleo

Askari wa akiba wa Urusi huenda wanatumia “makoleo” kwa mapigano ya “mkono kwa mkono” nchini Ukraine kutokana na uhaba wa risasi, Wizara ya Ulinzi ya Uingereza inasema. Mwishoni mwa Februari, askari wa akiba walielezea kuwa waliamriwa kushambulia Ukraine “wakiwa na…

DC Namtumbo aonya watendaji wasio waaminifu

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Namtumbo Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Malenya Ngolo amesema kuwa usimamizi mbovu wa vyanzo vya mapato kutoka kwa baadhi ya madiwani pamoja na wataalam,umesababisha baadhi ya watendaji wa halmashauri hiyo kuhujumu mapato jambo ambalo limesababisha kutoendelea kwa miradi…

Jela maisha kwa kumlawiti mtoto wake wa miaka minne

Na Steven Augustino,JamhuriMedia,Tunduru Mahakama ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imemhukumu mkazi wa kijiji cha Namiungo,Mohamed Saudi Ngwelekwe (25) kutumikia adhabu ya kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumlawiti mtoto wake mwenye umri wa…

Rais Samia: Mimi sichukulii wapinzani kama maadui

“Mtanzania yoyote, awe chama chochote cha siasa. Tunachotofautiana ni mawazo tu na fikra. Mimi sichukulii wapinzani kama maadui, nawachukulia kama watu watakaonionesha changamoto zilipo nizitekeleze ili CCM iimarike,” Rais Samia Suluhu Hassan. Arusha, Machi 5, 2023 Rais Samia pia amekubali…

Watatu wafariki wakiwemo Polisi wawili katika ajali Chalinze

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Watu watatu Mkoani Pwani wakiwemo Polisi wawili wamefariki dunia pamoja na mmoja kujeruhiwa ,baada ya gari lenye namba za usajili T.323 BAL aina ya Toyota Crester likiendeshwa na mkaguzi waPpolisi Ndwanga Dastan kuacha njia kisha kugonga karavati,na…