Latest Posts
Wanaokwamisha mabadiliko ya mahakama kuchukuliwa hatua
Magreth Kinabo na Stanslaus Makendi, Dodoma Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania,Mustapher Siyani amesema kwamba uongozi wa Mahakama ya Tanzania utachukua hatua ya kumwajibisha mtumishi yoyote yule ambaye atakuwa ni kikwazo wa mabadiliko yanayofanywa na mhimili huo katika kuelekea…
Rais Samia awataka viongozi kutekeleza na kusimamia majukumu yao
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi kukumbushana misingi ya uongozi na taratibu za utendaji kazi Serikalini kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Miongozo iliyopo. Rais Samia amesema hayo leo wakati akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat)…
Sera nzuri za Samia zilivyowavutia waajiri wengi kujisajiri WCF
Na mwandishi wetu, Dodoma Kumekuwa na ongezeko kubwa la waajiri kujisajili na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya sita, Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Dkt. John Mduma amesema. Dkt. Mduma ameyasema hayo wakati akizungumza…
Kimbunga cha Fredy chaua 14 Madagascar, Msumbiji
Takribani watu 7 nchini Madagascar na 7 nchini Msumbiji wamepoteza maisha baada ya kimbunga Freddy kupiga. Kulingana na ripoti ya hivi punde ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA), idadi ya watu walioathiriwa na Kimbunga…