Latest Posts
Dkt Biteko ashuhudia fainali ya Mwalimu Doto Cup Bukombe
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Biteko leo ameshuhudia fainali ya mashindano ya Mwl. Doto CUP 2023, wilayani Bukombe mkoani Geita ambapo Walimu katika wilaya hiyo wameshindana katika michezo…
Taasisi ya Umoja wa Mataifa yakabidhi magari kwa Jeshi la Polisi kuimarisha usalama
Na Mwandishi Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Nchini leo Oktoba 05, 2023 limekabidhiwa msaada wa magari Manne aina ya Nissan Patrol toka Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia mabaki ya shughuli za Mahakama za Makosa ya Jinai – IRMCT yenye ofisi…
Chongolo: Mawaziri watatu kuhusika fidia mradi wa umeme Tabora – Katavi
,Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema atakutana na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wizara ya Nishati na Wizara ya Fedha, kwa ajili ya kutatua changamoto ya malipo ya fidia ya…
Hospitali Kuu ya Jeshi la Polisi yatoa huduma za kibingwa kwa wenye changamoto ya macho
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi Dar es Salaam Jeshi la Polisi nchini kupitia Kikosi cha Afya na Hospitali ya CCBRT imetoa huduma za kibingwa kwa wananchi na Askari wa Jeshi la hilo wenye changamoto ya macho na mtoto wa…
Naibu Waziri Kapinga : Rais Samia ameibeba kwa dhati ajenda ya matumizi nishati mbadala
Na Waandishi Wetu, JamhuriMedia, Songea Naibu Waziri wa Nishati, udith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameibeba kwa dhati ajenda ya matumizi ya nishati mbadala kutokana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi….
Rais Mwinyi: Utalii ni kipaombele cha kwanza kwenye mnyororo sekta ya uchumi wa buluu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema utalii ni kipaombele chake cha kwanza kwenye mnyororo wa sekta za Uchumi wa Buluu kutokana na kuchangia asilimia 30 ya pato la taifa mbali ya sekta nyengine za maendeleo….





