JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Jaji Mkuu aainisha mambo sita muhimu yanayohitaji kuzingatiwa

Na Faustine Kapama-Mahakama Jaji Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Hamis Juma amezindua Baraza la Wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa Mahakama na kusisitiza mambo sita kwa wajumbe, ikiwemo kuzingatia maadili na kutunza ziri za ofisi, ambayo yanahitaji kuzingatiwa wanapotekeleza majukumu yao…

MOI yasogeza huduma za kibingwa Bagamoyo

Na Mwanadishi Wetu,JamhuriMedia Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili MOI kwa kushirikiana na Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo zimeendesha kliniki maalum (MOI Mobile clinic kwa wa kazi wa Bagamoyo ambapo zaidi ya wagonjwa 150 wamehudumiwa. Kliniki hiyo imehusisha huduma za…

Serikali kufanya maboresho uwanja wa Mkapa

Serikali imeahidi kufanya marekebisho makubwa yanayohitajika katika uwanja wa Benjamin Mkapa ili kukidhi viwango vya kimataifa vinavyohitajika katika michuano ya Africa Super League ambayo Klabu ya Simba ndio mwakalishi wa ukanda wa Afrika Mashariki. Hayo yamesemwa Februari 16, 2023 jijini…

DC Shaka akemea rushwa kwa watendaji

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Shaka Hamdu Shaka amekemea baadhi ya watumishi ambao wamekua sio waadilifu Kwa kuendekeza rushwa Jambo ambalo linachangia Kuongezeka kwa migogoro ya ardhi wilayani humo. DC Shaka ameyasema hayo katika Baraza la Madiwani wilayani…

PROF.Mkenda atoa wito kwa Watanzania kuandika vitabu

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda ametoa wito kwa watanzania kupenda kuandika kwa kuwa kinachoandikwa kinatoa funzo kwa vijana na jamii kwa ujumla. Ametoa wito huo Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa Kitabu On my father’s…