Latest Posts
Mmoja afariki kwa mafuriko, wengine waokolewa Ifakara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilombero Mtu mmoja amefariki na wengine kuokolewa baada ya mvua kubwa kunyesha wilayani Kilombero. Akizungumza Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Dunstan Kyobya amethibitisha kutokea kwa kifo cha mtu mmoja baada kutumbukia kwenye kina kirefu…
Waandishi wa habari wawili wafariki kwa ajali Rufiji
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Pwani Waandishi wa habari wawili waliokuwa wakitokea Dar es Salaam kuelekea Lindi wamefariki baada ya gari walilokuwa wamepanda kugongwa na gari aina ya Canter. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji, Protas Mutayoba, amethibitisha kutokea kwa…
Ubomoaji nyumba bonde la Msimbazi kuanza Aprili 12, nyumba 2,155 kuathirika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ubomoaji nyumba zilizofidiwa katika Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Msimbazi unatarajiwa kuanza Aprili 12, 2024, na litawahusu waathirika 2,155 ambao tayari wamelipwa fidia. ambaye ni Mratibu wa Miradi ya Ushirikiano na Benki…
Dk Biteko aagiza mpango mkakati kuimarisha huduma afya ya msingi
📌Asisitiza kutoa elimu ya afya kwa jamii 📌Aupongeza Mfumo wa M-mama uliobuniwa na Watanzania 📌Jumla ya vituo 2,799 vimejengwa na vingine kufanyiwa ukarabati kuanzia mwaka 2017 hadi 2024 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza…
Tanzania yapandishwa uwezo wake wa kukopa kimataifa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Tanzania imepandishwa kwenye orodha ya kimataifa ya viwango vya nchi vya kukopa kutokana na kuimarika kwa uchumi wake ndani ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Hii ni kwa mujibu wa shirika la kimataifa…





