Latest Posts
Ndumbaro: Vita ya ukatili wa kijinsia ni pana sana
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa vita ya ukatili wa kijinsia ni pana sana na imekuwa ikiwaathiri zaidi watoto na wanawake. Hayo ameyasema leo Julai 14,2023 wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wahariri na waandishi…
Rais Samia alivyoibeba Ruvuma kwenye mbolea ya ruzuku
Na Albano Midelo JamhuriMedia,Songea Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa tani 71,000 za mbolea ya ruzuku katika mkoa wa Ruvuma katika msimu wa mwaka 2022/2023. Takwimu zinaonesha kuwa kiasi hicho cha mbolea ya ruzuku…
Mbarawa:DP World ina uwezo mkubwa katika uendeshaji wa shughuli za bandari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imetaja sababu ya Kampuni ya DP World kuja kufanya shughuli za uboreshaji wa bandari hapa nchini. Hayo yamebainishwa leo Julai 14, 2023 na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof Makame Mbarawa wakati akizungumza na Jukawa…
IGP Wambura apokea tuzo kutoka kwa wenye ulemavu wa ngozi
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura amepokea tuzo kutoka kwa chama cha watu wenye wenye ulemavu wa ngozi Tanzania (TAS) ambayo ilitolewa katika maadhimisho ya kumi nane…
Waziri Ummy aagiza huduma za NICU ziwepo hospitali zote za halmashauri
Na WAF – Shinyanga Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali zote za Halmashauri nchini kuwepo na huduma za uangalizi Maalum kwa Watoto Wachanga (NICU). Waziri Ummy ametoa agizo ilo Julai 13, 2023 alipokuwa anaongea na timu ya usimamizi wa…