JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Samia ataka watumishi wala rushwa wachukuliwe hatua

…………………………………………………………………………………… Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kushirikiana na Wizara za kisekta kuzifanyia marekebisho sheria zote zenye mizunguko inayochelewesha kesi na upatikanaji wa…

ACT-Wazalendo yamwangukia Waziri Majaliwa sakata la malipo Mbagala

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Chama Cha ACT-Wazalendo kimemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,kulifuatilia sakata la malipo ya waathirika wa mabomu ya Mbagala na kuchukua hatua walioshughulikia suala hilo kwani kuna harufu ya udanganyifu,ubaguzi na uonevu. Rai hiyo imetolewa leo Februari 1, 2023…

Tanzania, Finland zaendelea kuimarisha ushirikiano

Serikali za Tanzania na Finland zimeahidi kuendelea kuimarisha ushirikiano katika sekta zenye maslahi mapana ya kiuchumi kwa wananchi wa nchi hizi mbili ikiwemo biashara, utalii na uwekezaji. Ahadi hiyo ilitolewa katika mazungumzo baina ya Waziri wa Mambo ya Nje na…

MO aendelea kuburuza Afrika mashariki na Kati

Mfanyabiashra Mohamed Dewji ‘Mo’ ameendelea kung’ang’ania kwenye orodha ya matajiri Barani Afrika iliyotolewa na Jarida maarufu la Forbes, ambapo ameshika nafasi ya 13 huku maarufu Aliko Dangote akishika nafasi ya kwanza. Katika orodha hiyo iliyotolewa na jarida la Forbes linalofuatilia…

Eneo la Kitaraka kutumika kimkakati kuzalisha mifugo Manyoni

Na Mbaraka Kambona,JamhuriMedia,Singida Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega (Mb) amesema kuwa Serikali imedhamiria kulitumia eneo la kupumzishia mifugo la Kitaraka lililopo wilayani Manyoni, Singida liweze kutumiwa na vijana watakao hitimu mafunzo katika vituo atamizi kwa ajili ya kufanya…