JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Chalamila apokea taarifa ya tathmini ya maafa Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Desemba 07,2023 amepokea taarifa ya tathimini ya maafa katika Mkoa huo ambayo inatokana na athari za mvua zinazoendelea kunyesha iliyowasilishwa na Wataalam kutoka Ofisi…

Naibu Waziri Pinda aagiza kuundwa timu kufanya tathmini vyuo vya ardhi Tabora, Morogoro

Na Mwandisho Wetu, JamhuriMedia, Tabora Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geofrey Pinda amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Anthony Sanga kuunda timu maalum ya kufanya tathmini kwa vyuo vyake vya Ardhi Tabora na Morogoro na…

Serikali yawataka watumishi kujiepusha makampuni ya kausha damu

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato SERIKALI mkoani Geita imewataka watumishi wa umma wajiepushe na mikopo ya kinyonyaji kutoka kwenye baadhi ya makampuni binafsi ya ukopeshaji fedha badala yake watumie vyama vyao vya kuweka na kukopa Saccos. Mrajis msaidizi wa Ushirika…