Latest Posts
‘Panya road’ 40 wapandishiwa kizimbani
Washtakiwa 40 akiwemo Lubea Manzi ambaye ni maarufu kwa jina la ‘Master’ ‘ wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaa kwa makosa ya unyan’anyi kwa kutumia silaha mbalimbali. Washtakiwa hao maarufu kwa jina la ‘Panya road…
TAMISEMI yaichapa 2-0 RAS Shinyanga
Timu ya wanawake ya kuvuta kamba ya TAMISEMI imeshinda 2-0 dhidi ya mpinzani wake timu ya Ras Shinyanga katika michezo inayoendelea ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) Jijini Tanga. Mechi hiyo iliyochezwa leo Oktoba 6, 2022 katika viwanja vya…
Taka za plastiki zinavyoathiri maisha ya viumbe hai baharini
Na Robert Okanda,JamhuriMedia Katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita, chupa za maji 5,000 zilizotumika zikiwa zilipambwa vizuri, kwa kunakshiwa kama urembo kwenye nguzo za minara ya Kirumi zinazosalimia mtu anapoingia kwenye Klabu ya Afya ya Colosseum Masaki mjini Dar es…
Mama amchoma moto mwanaye la 7, ashindwa kufanya mitihani
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Geita Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Shahende mkoani Geita, Helena Mashaka (13), ameshindwa kutimiza ndoto zake baada ya mama yake mzazi kumchoma moto mikono kwa tuhuma za kuiba sh.30,000. Edgar Michael ni mtendaji…
Wananchi wamiminika banda la RITA kupata huduma
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kibaha Wakazi wa Mkoa wa Pwani wamekuwa na mwitikio mkubwa wa kutembelea banda la Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali zikiwamo a vyeti vya kuzaliwa. Akizungumza na gazeti hili katika maonyesho…
Morocco yahalalisha ulimaji bangi
Serikali ya Morocco imetoa vibali 10 kwa wakulima kulima bangi kihalali kwa ajili ya viwanda na kuuza nje kwa mara ya kwanza. Wakulima katika maeneo ya kaskazini ya al-Hoceima, Chefchaouen na Taounate wataruhusiwa kuzalisha na kuuza bangi kwa matumizi ya…