Latest Posts
Meena:Sheria zenye mtego zimechangia kutia hofu wanahabari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar IMEELEZWA kuwa kuna mambo mengi yaliyochangia kutia hofu wanahabari ni pamoja na kuwepo kwa sheria zenye mtego, ikiwemo utaratibu wa kuomba leseni ya kuendesha gazeti kila mwaka. Hayo yamebainishwa na mjumbe wa Kamati Tendaji ya Jukwaa la…
Polisi waendelea na oparesheni kali kuzuia uhalifu Dar
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Akizungumza mapema leo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es…
Waziri Sagini ataka kuchukuliwa hatua wasiofuata sheria
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini amewataka Wakuu wa Usalama Barabarani wa Mikoa na Wilaya (RTOs na DTOs) kuendelea kuwachukulia hatua kali madereva sambamba na watumiaji wengine wa vyombo vya moto wasiotaka kufuata sheria,kanuni na alama…
Fuatilia matokeo ya awali ya uchaguzi Mkuu Kenya
Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea nchini Kenya huku karibia asilimia 90 ya matokeo yaliyokusanywa kutoka kwenye maeneo mbalimbali yanaonyesha wagombea wawili kati ya Raila Odinga na William Ruto kuchuana vikali. Tume ya Uchaguzi (IECB) ina siku saba za kutangaza mshindi…
Mabula atoa onyo kwa viongozi wanaochochea migogoro ya ardhi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Bagamoyo WAZIRI wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya makazi Angelina Mabula ametoa onyo kwa baadhi ya Viongozi wa ngazi za vijiji na vitongoji wanaokuwa chachu ya migogoro kwa kuuza ardhi zaidi ya mara moja ili…