JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MAISHA NI MTIHANI (45)

Utukufu ni mbele kwa mbele   Yajayo ni mtihani, kioo cha mbele cha gari ni kikubwa kuonyesha kuwa makubwa yako mbele. Vioo vya pembeni vya kutazama ya nyuma ni vidogo kuonyesha kuwa madogo yako nyuma, utukufu ni mbele kwa mbele. “Yajayo…

Kulaza watu saa 5 usiku si haki

Hivi karibuni nilihudhuria sherehe za kijana mmoja aliyefunga ndoa. Ni tukio la furaha kwa wana ndoa wenyewe, lakini pia kwa ndugu, jamaa na marafiki wa wawili hao. Ni tukio linalowakutanisha watu wengi na huendana na shamrashamra za kila aina. Kula…

Kuna njama za kuhujumu uchumi wetu

Kuna njama za kuhujumu uchumi na kudhulumu utu na uchumi wa Mtanzania daima dumu. Njama hizo si ndogo, ni kubwa na zinatekelezwa usiku na mchana na mabeberu wa dunia wakishirikiana na Watanzania wenzetu. Wananchi hatuna budi kulifahamu hilo na kuwa…

Yah: Sasa litolewe tamko

Naanza na salamu kama Mtanzania mwenye uzalendo.  Watu wengi hawaelewi maana halisi ya uzalendo. Inawezekana hata mimi nikawa miongoni mwao, kwa maana ya leo ambayo inazungumzwa na wanasiasa wengi vijana na walioibuka katika uwanja wa siasa kama sehemu ya ajira….

Kunahitajika chombo cha kitaifa kuratibu shughuli za Serikali

Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema na wingi wa neema, lakini pia kutupatia uwezo na nguvu kusimamia na kutumia rasilimali zilizopo kwa faida ya kizazi hiki na kijacho. Tanzania imejaliwa kupata rasilimali na…

Msondo Ngoma ilikotoka (1)

Baadhi ya watu inawezekana wakawa wamekwisha kusahau kwamba kabla na baada ya Uhuru wa Tanganyika zilikuwepo bendi nyingi lakini mara baada ya Uhuru kuliundwa bendi iliyopewa jina la NUTA Jazz. Mwaka huu inatimiza miaka 55 tangu ianzishwe mwaka 1964 katika…