JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

JK aonesha picha za wazai wake

Na Issa Michuzi,JamhuriMedia Akiwa katika mahojiano katika kipindi maalumu cha kuadhimisha miaka 72 ya kuzaliwa cha JK72 na watangazaji wa Clouds FM na Clouds TV, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho…

Rais Ruto kuwasili nchini kesho

Rais wa Kenya, William Ruto kesho ataanza ziara ya siku mbili nchini, tangu alipoapishwa Septemba 13, mwaka huu kuwa rasi wa tano wa nchi hiyo. Tangu alipoapishwa, Rais Ruto ametembelea nchi tatu tofauti, ikiwamo Uingereza alikokwenda kuhudhuria maziko ya Malkia…

WHO:Afrika ina idadi kubwa ya watu wanaojiua

Shirika la Afya Duniani limesema Afrika ina kiwango kikubwa zaidi cha watu wanaojiua duniani. Shirika hilo sasa limezindua kampeni ya mitandao ya kijamii ya kuzuia watu kujitoa uhai katika eneo hilo, ili kuongeza ufahamu juu ya suala hilo. Katika taarifa…

Kituo cha kutibu magonjwa ya milipuko kujengwa Kagera

Na Catherine Sungura,JamhuriMedia,Kagera Serikali inatarajia kujenga kituo maalumu cha matibabu ya magonjwa ya milipuko mkoani Kagera. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu wakati wa kikao cha kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya kujionea utayari wa kukabiliana na…

TDM:Dawa iliyoua watoto 66 Gambia haipo nchini

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), imesema itaendelea kuchukua tahadhari zote kupitia mifumo yake ya udhibiti, ili kubaini endapo dawa inayosadikiwa kusababisha vifo vya watoto 66 nchini Gambia zitafika nchini. Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo,Adam Fimbo katika taarifa yake…

TFF yazifungia Singida, Prisons

Klabu za Singida Big Stars na Tanzania Prisons zimefungiwa kufanya usajili wa wachezaji wapya kwa dirisha moja la usajili kwa kosa la kusajili wachezaji walio na mikataba na klabu nyingine.