JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MAISHA NI MTIHANI (38)

Malezi ya mama ni mtaji wa watu mashuhuri Umama ni mtihani. Kila nyuma ya mtu mashuhuri kuna mama makini. Mama ni mzaa chema, lakini kila nyuma ya mshika mkia kuna mama mzembe au hakuna mama. “Mungu asingeweza kuwa kila mahali,…

Asante sana Rais Magufuli

Kwenye safu hii, toleo Na. 391, niliandika makala iliyokuwa na kichwa cha habari: “Rais Magufuli wasaidie wanyonge hawa”. Nilichoandika kilihusu mateso yanayowafika maelfu ya Watanzania katika magereza nchini mwetu. Nilianza na kisa cha kweli cha mama mmoja niliyemkuta akitoka kumwangalia…

Gamboshi: Mwisho wa dunia (7)

Wiki iliyopita katika sehemu ya 6 hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Sina kitu nitakachopoteza lile dubwasha likinishinda mama yangu. Sana sana nitapoteza roho yangu tu. Sasa roho yangu ikipotea kutakuwa na hasara gani? Je, ni nani ajuaye kwa dhati…

Tutakwama, tusiendelee kujidanganya

Wakati Madagascar ikifanya maajabu katika michuano ya Kombe la Mataifa Afrika iliyomalizika hivi karibuni nchini Misri, wengine tulijidanganya kuwa tupo kundi gumu. Si kujidanganya tu, bali pia tulijipa matumaini kwamba lazima tupate uzoefu ili tuweze kufikia malengo halisi tunayoyataka. Tukaitolea…

Ameuawa?

Naomi Marijani (36), mama wa mtoto mmoja, mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam ametoweka katika mazingira yenye utata kiasi cha kujengeka hisia kuwa ameuawa, JAMHURI linaripoti. Hadi leo zimetimia siku 63 tangu Naomi ametoweka katika mazingira yenye kuacha maswali…

Busara katika kodi ya ardhi

Hivi karibuni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula, ameonyesha ujasiri zaidi katika kuzibana taasisi na kampuni zenye madeni makubwa ya kodi ya pango la ardhi. Mpita Njia ama MN anatambua ukubwa wa tatizo hilo….