Latest Posts
Polisi wanasa tena ‘Panya road’ 167 Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar Jeshi la Polisi nchini limewatia mbaroni watuhumiwa 167 ‘Panya road’ ,katika operesheni maalumu inayoendelea katika Jiji la Dar es Salaam ambao wanatuhumiwa kushiriki katika vitendo mbalimbali vya uhalifu. Akizungumza leo Septemba 24,2022 ,Kamishna wa Operesheni na…
Mbatia afukuzwa NCCR-Mageuzi
Hatimaye mkutano mkuu wa Chama Cha NCCR-Mageuzi umemfukuza uanachama mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia na pamoja na kumvua uongozi Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Angelina Rutairwa. Mkutano huo unafanyika leo Jumamosi Septemba 24, 2022 jijini Dodoma na umehudhuriwa…
BOT: Uchumi wa Tanzania Bara wakua kwa asilimia 5.4
Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imefanya kikao chake cha Septemba 222 Septemba 23,2022, ili kutathmini utekelezaji wa sera ya fedha na mwenendo wa uchumi kwa kipindi cha mwezi Julai na Agosti 2022. Kamati imeridhishwa na utekelezaji wa sera ya…
Kamati ya kushughulikia migogoro ya ardhi kuanza kazi Jumatatu Dodoma
Na Munir Shemweta,JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya kushughulikia migogoro ya ardhi iliyoundwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Allan Kijazi itaendelea kutatua changamoto za ardhi katika mkoa wa Dodoma kuanzia Septemba 26 hadi 30, mwaka…





