JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Mkuu azindua mpango kabambe wa sekta ya uvuvi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Sekta ya Uvuvi utasaidia kukuza sekta hiyo na kuongeza mchango wake katika Pato la Taifa hadi kufikia asilimia 10 kwa mwaka kutoka asilimia 1.8 ya sasa. Majaliwa amesema kuwa mpango…

Makamu wa Rais akihutubia mkutano wa elimu Umoja wa Mataifa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Philip Mpango amesema katika kuelekea mwaka 2030, mataifa yanapaswa kujitoa upya na kuazimia kuongeza uwekezaji  zaidi katika sekta ya elimu kwa nia ya kuhakikisha Watoto wanapata elimu iliyo bora na…

CHADEMA yaitaka Serikali kutoa sababu za NHIF ‘kufilisika’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeitaka Serikali kutoa sababu zilizosababisha Mfuko wa Taifa wa Bima (NHIF) kuwa na hali mbaya ya kifedha. Hayo yamesemwa leo Septemba 20,2022 na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salim Mwalimu…