JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Masele yametimia

Hatima ya Stephen Masele kuendelea au kutoendelea kuwa mbunge katika Bunge la Afrika (PAP) inajulikana wiki hii. Masele ambaye ni Mbunge wa Shinyanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekaliwa vibaya kisiasa, na aliyeshika mpini kwenye vita hiyo ni Spika…

Mochwari ya Muhimbili mmmh!

Mpita Njia (MN) kwa umri alionao, anaona kuna haja ya kuyakaribia Maandiko Matakatifu na kuyaishi. Kwa umri wake amepitia mengi, lakini la hivi karibuni la kuingia katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Taifa Muhimbili limemfanya azidi kuimarika kiimani….

Mazito aliyekwepeshwa kwa Magufuli

James Kunena aliyeporwa nafasi ya kuzawadiwa na Rais Dk. John Magufuli kuwa mfanyakazi bora wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) alipigiwa kura na wenzake kwa kuwa alibuni vipuri vilivyotakiwa kuagizwa nje ya nchi. Hatua yake hiyo iliwashawishi wenzake kumchagua kuwa…

Abambikiziwa uanachama mfuko wa jamii

Uliokuwa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) kwa miaka minne umeshindwa kulipa mafao ya kustaafu ya askari polisi aliyelitumikia jeshi hilo kwa miaka 33, kisa kabambikizwa uanachama katika mfuko mwingine. Thomas Njama, amestaafu Jeshi la Polisi mwaka 2015…

Mwalimu mtuhumiwa mauaji ni Mkenya

Shule ya Sekondari ya Scolastica iliyopo Himo, Moshi mkoani Kilimanjaro inatuhumiwa kuajiri mwalimu raia wa Kenya asiyekuwa na vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini. Mwalimu Laban Nabiswa, ni mshtakiwa wa tatu katika kesi ya mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi Humphrey Makundi…

Rushwa ya ngono yamtumbukia mwalimu

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Jabarhila, iliyopo Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, Mwatanda Omari (37), amehukumiwa kwenda jela miezi 12 kwa kosa la kuomba rushwa ya ngono. Mwalimu Omari alitenda kosa hilo Machi 9, 2017 kwa kumuomba rushwa hiyo…