Latest Posts
Wakulima wa kahawa Kijiji cha Liyombo washauriwa kujiimarisha kimaendeleo kupitia mauzo ya zao hilo
Na Mwandishi Wetu, JahuriMedia, Mbinga Wakulima wa zao la kahawa kijiji cha Liyombo kata ya Linda Wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma,wametakiwa kujenga mazoea ya kupanga bajeti ya fedha mara wanapouza mazao ikiwemo kahawa kwa kuimarisha chama chao,kufanyia shughuli za maendeleo…
Rais Samia aiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya nishati ya mafuta
Na Aziza Nangwa JamhuriMedia, Dar es Salaam Wizara ya Nishati imeagizwa kuimarisha akiba ya nishati ya mafuta ili kuongeza uwezo wa nchi kujilinda dhidi ya misukosuko ya kimataifa. Kauli hiyo imetolewa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akiweka jiwe…
FCC kuwalinda walaji
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tume ya Ushindani (FCC) imesema kuwa itaendelea kuchukua hatua katikakuhakikisha walaji wa bidhaa na huduma wanapata salama zinazokidhi viwango. Hayo ameyasema Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC) Khadija Ngasongwa wakati akitangaza…
Kwanini Serikali inamiliki hisa chache kwenye kampuni
Na Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Serikali imesisitiza kuwa uamuzi wake wa kumiliki hisa chache katika baadhi ya kampuni nchini na nje ya nchi unalenga kushiriki katika maamuzi ya kimkakati na kuhakikisha uwekezaji wake, ambao kwa sasa umefikia Sh1.94…
Baada ya onyo kali la DC Kaslida, wafugaji aondoka Same kwa hiari
Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Same WAFUGAJI wanaoishi nje ya wilaya ya Same ambao walikuwa wameingiza mifugo yao ndani ya wilaya hiyo katika vijiji vilivyopo kata ya Vumari bila kuwa na kibali wameanza kutii agizo la Mkuu wa wilaya hiyo, Kasilda…





