JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Ndejembi aweka jiwe la msingi mradi wa kusafirisha umeme Benaco – Kyaka

📌Lengo ni kuunganisha Mkoa wa Kagera na Gridi ya Taifa 📌Zaidi ya bilioni 270 zitatumika kutekeleza mradi Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti…

Kamati ya Bunge ya Nishati yafurahishwa na uwekezaji unaofanywa na Oryx kwa kuchochea maendeleo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema kuwa uwekezaji unaofanywa na Oryx Energies Tanzania Limited ni kielelezo cha mafanikio ya juhudi za Serikali katika kuimarisha sekta binafsi na kuongeza mchango…

ACT yaomba Serikali ipunguze tozo kutokana hali ya maisha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAKATI wananchi wakilalamikia kupanda kwa gharama za maisha nchini, Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kuondoa angalau Sh. 500 katika kodi na tozo za mafuta kwa kila lita ili kupunguza mzigo unaoendelea kuwaathiri…

Waziri Kapinga : Ushirikiano wa Tanzania na EU ufungue milango ya kiuchumi na sio utegemezi

Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema Tanzania itaendelea kuimarisha mazingira ya biashara na uwekezaji ili kuhakikisha sekta binafsi, hususan wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs), wanakuwa chachu ya maendeleo ya uchumi wa taifa. Waziri Kapinga aliyasema hayo Mei…

CHADEMA Pwani yataka maeneo ya umma yapimwe kuepusha migogoro ya ardhi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Pwani kimezitaka halmashauri kuhakikisha maeneo yenye taasisi za umma yanapimwa na kumilikishwa hati ili kuzuia migogoro ya ardhi inayoweza kusababisha upotevu wa mali za serikali. Wito huo…

TANESCO yazindua rasmi zoezi la ulipwaji fidia kwa wananchi Lindi na Mtwara

📌 Lengo ni kupisha Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme 220kV Masasi, Mahumbika 📌Zaidi ya Shilingi Bil 5.1 zimetengwa kwa ajili ya zoezi hilo Shirika la umeme Tanzania ( TANESCO) limezindua rasmi zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi…