JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wananchi waishukuru Serikali kukamilika daraja la Jema – Oldonyosambu

Miaka ya adha yafikia kikomo, usafirishaji wa mazao na huduma za kijamii sasa warahisishwa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ngorongoro Wananchi wa Kata ya Oldonyosambu, wilayani Ngorongoro, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea daraja la mawe lenye urefu wa mita 45 katika Mto…

Katibu Mkuu Uwekezaji afanya ziara Ofisi ya Msajili wa Hazina

Na Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Uwekezaji, Dk. Fred Msemwa, leo Machi 4, 2026, ametembelea Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) kwa ziara ya kujitambulisha kufuatia kuteuliwa kwake na Mheshimiwa Rais wa…

Makatibu wakuu SADC wapitia mpango wa maendeleo wa kanda, wabaini changamoto za utekelezaji

Kikao cha Makatibu Wakuu na Maafisa Waandamizi wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kupitia utekelezaji wa Mpango Mkakati Elekezi wa Maendeleo ya Kikanda (Regional Indicative Strategic Development Plan- RISDP) kimeanza leo tarehe 04 Machi 2026…

Serikali yafanikisha usimamizi wa miradi yote ya maendeleo kwa ufanisi

Na Maelezo Zanzibar  04.03.2026 Waziri wa Maji, Nishati na Madini Mhe. Nadir Abdullatif Al-wardy amesema Serikali imeweza kusimamia na kufanikisha miradi ya maendeleo katika sekta zote zilizomo katika Wizara hiyo kwa lengo la kuimarisha maendeleo ya wananchi. Akizungumza na waandishi…

Meya Ilala: Bilioni 2/- kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Ilala

Na Heri Shaaban (Dar es Salaam) MEYA wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam Nurudini Bilal , amesema Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam imetenga shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya maswala ya mazingira na mabadiliko ya tabia…

Tani 9.93 za dawa za kulevya zakamatwa nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Januari na Februari 2026, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata tani 9.93 za dawa za kulevya aina mbalimbali, chupa 1,795 za dawa tiba zenye asili ya kulevya na kuteketeza…