Latest Posts
Siasa ni uwanja wa maajabu
Mwaka juzi mwanasiasa wa siku nyingi wa nchini Malaysia, Dk. Mahathir Mohamad, alishinda uchaguzi kwa kumuondoa madarakani Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Najib Razak. Kilichotokea kinashangaza. Inakuwaje babu wa miaka 92 afanye kampeni kwa mafanikio na kuweza kumuengua waziri mkuu…
Kuendesha gari spidi ndogo, kosa kisheria
Wapo watu wanaojua kuwa kuendesha gari kwa mwendo mdogo ndio ustaarabu na ndilo jambo zuri linalopendwa sana na sheria. Yeyote mwenye mawazo ya aina hii amekosea sana. Kifungu cha 56 cha Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168 kinakataa dhana hii. Kifungu…
Historia ya Sikukuu ya Valentine’s Day (3)
Wiki iliyopita katika makala hii inayomhusu mwasisi wa Siku ya Wapendanao, Mtakatifu Valentino, iliishia pale ambapo katika kila barua aliyokuwa anaandika aliweka maneno “Ndimi Valentino wako.” Maneno hayo yakawa ni kielelezo cha upendo wa Mtakatifu Valentino kwa watu wote kuwa…
MAISHA NI MTIHANI (16)
Mwanzo ni mtihani, mwanzo mgumu, lakini lisilowezekana linawezekana. Mwanzo wa ngoma ni lele, mambo yote makubwa huanzia madogo. Mwandishi wa vitabu vya hadithi wa Uingereza, John Creasy, alipata barua 753 za kukataa kuchapisha vitabu vyake na wachapishaji wa vitabu kabla…
Nani katuloga?
Wiki iliyopita Kampuni ya Mwananchi ilifanya jambo la maana sana. Iliandaa mjadala muhimu sana uliohusu athari za biashara na matumizi ya mkaa nchini. Nasikitika kutoshiriki mjadala huo. Hizi picha zinazoonekana hapa nilizipata wiki mbili zilizopita bila kujua kungekuwapo mjadala wa…
Hekima na busara zitawale wasanii (2)
Siti alikuwa maskini wa sura lakini tajiri wa sauti. Alikuwa kinanda Afrika Mashariki na watu wakampenda. Alikuwa na kinywa cha mbubujiko mkubwa wa muziki. Alighani katika taarabu kwa miaka thelathini. Alitumia ulimi wake kuvuta walio mbali kumsikiliza na wa karibu…