Latest Posts
Tanzania, Comoro kuanzisha Tume ya Kudumu ya Pamoja
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Comoro zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) wa kuanzisha Tume ya Kudumu ya Pamoja kati ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamesainiwa leo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…
Majaliwa:AMCOS Mbozi kuchunguzwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itafanya uchunguzi kwa vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS) wilayani mbozi mkoani Songwe na watakaobainika kuhusika na ubadhirifu wowote watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria. Mheshimiwa Majaliwa ametoa kauli hiyo baada ya Mbunge wa…
Rais afanya uteuzi mwingine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Antony Diallo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA). Bw. Diallo anachukua nafasi ya Prof. Anthony Mshandete…
Rais Samia awataka wakandarasi kufanyakazi kwa ufanisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amewataka Wakandarasi wazawa walioshinda zabuni kuhakikisha kufanya kazi zenye ubora kwa ufanisi, uaminifu na kufuata makubaliano yaliyofikiwa katika mikataba. Rais Samia ametoa wito huo leo wakati akishuhudia utiaji saini mikataba ya…
Majaliwa:Halmashauri tekelezeni miradi kwa fedha za ndani
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka miwili ya Serikali ya Awamu ya Sita imetekeleza miradi mingi ya huduma za jamii kila eneo hivyo watendaji wa halmashauri zote nchini wanatakiwa waendelee kubuni miradi mikubwa na kuitekeleza kwa kutumia…





