Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Irani nchini Tanzania Mhe. Hossein Alvand Behineh, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Irani nchini Tanzania Hossein Alvand Behineh mara baada ya mazungumzo, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Loyang Johnson Okot Jekery, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Loyang Johnson Okot Jekery, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Finland nchini Tanzania Mhe. Tereza Zitting mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Irani nchini Tanzania Mhe. Hossein Alvand Behineh mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Canada hapa nchini Mhe. Kyle Michael Nunas mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.

By Jamhuri