Latest Posts
Barua ya wazi kwa Rais wa Tanzania
Je, GMOs ni Sera ya Serikali? Mheshimiwa Rais; Kwa heshima na taadhima, niruhusu mimi mtoto wa mkulima mdogo na mwananchi wa nchi yetu tukufu nikusalimu. Hali yangu mimi na wanafamilia wenzangu, ambao ni wakulima wadogo nchini, si njema kabisa. Mheshimiwa…
Magufuli avunja rekodi
Rais John Magufuli katika kipindi chake cha uongozi cha miaka mitatu amefanya mengi ambayo hata wakosoaji wake wanakiri kuwa ni ya kupigiwa mfano. Kwenye toleo hili maalumu, tumeorodhesha baadhi ya mambo hayo yakilenga kuonyesha mafanikio makubwa katika kuimarisha nidhamu, uadilifu…
Waenda Uingereza kuchangisha fedha za ‘mapambano’ Loliondo
Mgogoro wa masilahi katika Pori Tengefu la Loliondo (LGCA) unafukuta upya baada ya Watanzania takriban 20 kutarajiwa kusafiri kwenda nchini Uingereza wiki hii kuomba fedha za kuendeshea mapambano dhidi ya serikali. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa harambee ya kukusanya…
Mwenyekiti Baraza la Ardhi akataliwa
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba Wilaya ya Moshi, James Silas, amekataliwa kuendelea kusikiliza shauri la ardhi namba 175/2017 lililopo mbele yake. Oktoba 6, mwaka huu, Donald Kimambo na David Kimambo waliandika barua wakimtaka Silas kujitoa kusikiliza shauri lao….
Hongera Rais Magufuli
Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli imetimiza miaka mitatu tangu ilipoingia madarakani mwaka 2015. Rais Magufuli alishika uongozi nchi ikiwa inakabiliwa na matatizo mengi ya kiuchumi, kijamii na kimaadili. Hatuna kipimo sahihi cha kubainisha kazi zilizokwisha…
Jifunze kufikiri
Kuna wakati utahitaji kutumia akili za ziada zaidi ya kutumia akili za darasani. Ni watu wachache mno ambao wana uwezo huo. Tunaweza kusema watu hawa ni watu “waliojiongeza” kiakili. Watu wa namna hii ni watu wanaofikiri. “Palipo na mafanikio: Watu…