Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kyerwa, Innocent Bilakwate, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2022. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Hai, Saasisha Mafuwe, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exhaud  Kigahe, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

By Jamhuri