Latest Posts
Tutetea urithi wa lugha zetu
Miezi kadhaa iliyopita nilimsikia jirani yangu Mkurya akitoa somo la nyota kwa wageni Wafaransa. Alitaja tafsiri, kwa Kikurya, ya nyota, mwezi, jua, na hata ya sayari Zuhura. Lugha mama yangu ni Kiswahili, siyo Kizanaki, kwa hiyo hufurahia sana kusikia Mtanzania,…
Naomba Mhandisi Mjungi akumbukwe
Na Angalieni Mpendu Rais Dk. John Pombe Magufuli nimekusikiliza kwa utulivu, nimekusoma kwa umakini na nimekuelewa kwa undani katika hotuba yako ya uzinduzi wa Daraja la Mfugale (Mfugale Flyover), eneo la TAZARA, katika makutano ya Barabara ya Mandela na Barabara…
Yah: Mheshimiwa Charles Tizeba umetusahau wakulima wako
Ninajua kuwa hautanielewa nikisema umenisahau kwa sababu haujapata nafasi ya kuja kunitembelea hapa kwangu na kuona jinsi ambavyo fuko la alizeti lilivyogeuka kuwa mto wa kulazia kichwa changu huku nikiwaza rundo la mahindi nitaliuza wapi, najiuliza, mihogo niliyonayo niwakabidhi nguruwe…
Mourinho, mwisho wa enzi!
NA MWANDISHI WETU Alexis Sanchez anaweza kuwa ameokoa kibarua cha Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, kufukuzwa mapema wiki hii baada ya kuwafunga Newcastle United 3-2 mwishoni mwa wiki. Endapo Jose Mourinho ‘The Special One’ atafungashiwa virago, Meneja wa Tottenham, raia…
SAM MANGWANA Mwanamuziki asiyechuja
NA MOSHY KIYUNGI Jina la Sam Mangwana si geni masikioni mwa wapenzi wa muziki wa dansi Afrika Mashariki na Kati. Ni mwanamuziki mwenye vipaji vya utungaji na kuimba nyimbo za muziki wa dansi akitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Mangwana…
Rais Recep Tayyip Erdogan aihoji Saudia kutoweka kwa Mwandishi
Rais wa Uturuk Recep Tayyip Erdogan ameitaka Saudia kutoa ushahidi kuhusiana na mwandishi wa habari aliyepotea kwamba alitoka nje ya majengo ya ubalozi wao mjini Istanbul. Mwandishi huyo raia wa Saudia Jamal Khashoggi kwa mara ya mwisho alionekana katika jengo…