Latest Posts
Tanzania,Burundi na UNHCR zasaini makubaliano ya kuwarejesha wakimbizi kwa hiari Burundi
Na Mwandishi Wetu Tanzania, Burundi na Shirika la Wakimbizi Duniani (UNHCR) zimesaini makubaliano ya pamoja kuhusu kuendelea kuwarejesha kwa hiyari Nchini kwao Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa Nchini Tanzania makubaliano yaliyofikiwa mjini Gitega Burundi katika mkutano wa 23 wa pande tatu…
Le Mutuz’ afariki
Mmiliki wa ‘Le Mutuz’ Blog, William Malecela, maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere Taarifa zaidi zitakujia hivi punde





