Latest Posts
Urusi Vs Ukraine
*Ni pambano la ‘Daudi na Goliati’ uwanjani *Urusi ina kila kitu, makombora mazito, ndege *Marekani, Uingereza zaitosa Ukraine kijeshi *Putin aandaa matumizi ya zana za nyuklia Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Hali inazidi kuwa tete nchini Ukraine na wananchi…
Lugumi kubadili sheria ya mnada
Na Shaban Matutu, Dar es Salaam Hatua ya kukwama kuuzwa mara tatu kwa nyumba mbili za mfanyabiashara, Said Lugumi, imeifanya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufikiria kuboresha sheria ili zitoe mwongozo kwa mali zilizokosa mteja mnadani. Sababu ya kufikiria hilo…
Polisi wadaiwa kushiriki dhuluma
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Polisi kadhaa wanalalamikiwa kuwa wanashirikiana na mtandao wa biashara ya magari kufanya dhuluma. Mkazi mmoja wa Dar es Salaam, Michael Onduru, amekumbwa na kadhia hiyo. Analalamika kuwa licha ya kuwapo vielelezo vya namna alivyonunua…
Nimejifunza, Ukraine – Urusi taarifa zina utata
Na Deodatus Balile Tangu Urusi ianze mashambulizi dhidi ya taifa la Ukraine, nimekuwa na ufuatiliaji wa karibu wa mashirika mbalimbali ya habari ya kimataifa. Kuna jambo gumu nimejifunza. Nimekuwa nikilisikia hili nililojifunza, ila sasa nimejifunza kwa njia ngumu. Sitanii, miaka…
Vita ya Urusi dhidi ya Ukraine na ukweli kuhusu NATO
DAR ES SALAAM Na Abbas Mwalimu Urusi inatekeleza kile alichokiita Rais wake, Vladimir Putin, ‘Operesheni Maalumu’ nchini Ukraine aliyoitangaza Februari 24, mwaka huu. Wakati huu Urusi ikielekea Kyiv ambao ni Mji Mkuu wa Ukraine, Rais wake, Volodymyr Zelensky, ameuomba Muungano…
Bangala: Nusu mtu, nusu chuma
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu ‘Nusu mtu, nusu chuma’ ni jina la utani analoitwa mlinzi wa kati wa Klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Joash Onyango, ambaye ni raia wa Kenya. Onyango amepewa jina hili kutokana na kazi…





