Latest Posts
Hongera Rais Magufuli
Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli imetimiza miaka mitatu tangu ilipoingia madarakani mwaka 2015. Rais Magufuli alishika uongozi nchi ikiwa inakabiliwa na matatizo mengi ya kiuchumi, kijamii na kimaadili. Hatuna kipimo sahihi cha kubainisha kazi zilizokwisha…
Jifunze kufikiri
Kuna wakati utahitaji kutumia akili za ziada zaidi ya kutumia akili za darasani. Ni watu wachache mno ambao wana uwezo huo. Tunaweza kusema watu hawa ni watu “waliojiongeza” kiakili. Watu wa namna hii ni watu wanaofikiri. “Palipo na mafanikio: Watu…
USAID, JET wafunda wanahabari
“Watanzania hawajitangazi, wao wamekazana kutangaza wanyamapori na vivutio vya utalii peke yake, kama hatujitangazi kwanza sisi wenyewe, hawa wanyamapori mnafikiri wanatutangaza vyakutosha huko duniani?” Ni Maneno ya Dk. Ellen Oturu, Mratibu wa Miradi wa Chama cha Waandishi wa Habari za…
Raila Odinga anakuwa Rais Kenya (6)
Wiki iliyopita makala hii iliishia kwa kusema wawili hao (Ruto na Waigui) wanahaha kusafisha majina yao, huku Rais Kenyatta akiwa kimya. Jambo jingine linalomtia tumbo joto (Ruto) ni kitendo cha Odinga kujipenyeza kwenye Mkoa wa Bonde la Ufa, ambao ni ngome…
Tumejipanga kuvuka nje ya mipaka
Mwezi huu, Novemba 5, 2018 Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais John Magufuli ilitimiza miaka mitatu madarakani. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Sam Kamanga, amesema Rais Magufuli amesaidia kufufua shirika hilo. Katika mahojiano na JAMHURI,…
Ngorongoro: Haijapata kutokea
MAELEZO YA MHIFADHI MKUU NCAA, DK. FREDY MANONGI Ngorongoro ya miaka mitatu Ukiangalia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na eneo lenyewe kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita, mabadiliko yaliyoonekana ni makubwa kuliko kipindi chote eneo hili lilipoanzishwa mwaka 1959. Mabadiliko…