JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Magufuli ameimarisha Bandari – Kakoko (2)

Wiki iliyopita makala hii iliishia katika eneo ambalo Mkurugenzi Mkuu, Injinia Deusdedith Kakoko, alisema kila mkurugenzi na meneja wa ngazi yoyote anayefanya kazi Bandari amepewa malengo ya kutimiza. Lengo kuu ni kukusanya Sh trilioni 1 katika mwaka huu wa fedha….

MAISHA NI MTIHANI (3)

Majaribu ni mtihani. Kumbuka kuwa bahari shwari haitoi wanamaji stadi. Watu wema wamefinyangwa na mitihani ya maisha yenye sura mbaya. Nakubaliana na Matshona aliyesema: “Roho zenye urembo zinafinyangwa na mapito yenye sura mbaya.” Wakati mwingine tunawajua watu wenye majina makubwa…

Maisha bila changamoto hayanogi (2)

Maisha bila maadui hayanogi. Maadui katika maisha ni kama viungo kwenye mboga, wanayanogesha maisha. Wanayapamba maisha ili yavutie, maadui wanakufanya umtafute na kumkumbuka Mungu usiku na mchana. Kama una maadui wewe ni wa kupongezwa na kama hauna maadui jitafakari upya….

Namuomba Rais wetu atafakari ‘huruma’ aliyowapa wamachinga

Hakuna shaka kwamba Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais John Magufuli imefanya mambo mengi mazuri katika kipindi hiki cha miaka mitatu. Yapo pia mengine ambayo anakosolewa, na baadhi ya watu wanasema laiti kama angeyatenda kwa kadiri…

Ahadi ni ukweli na maendeleo

Nitatumikia nchi yangu na watu wake wote. Nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote. Nitasema ukweli daima, fitina kwangu mwiko. Hizi ni ahadi tatu kati ya kumi za mwanachama wa TANU.  Ukizitazama kwa…

Kampeni za Makonda na chenga ya Dk. Mahiga

Kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, za kusaka watu ambao wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja imeibua mjadala mkali wa sheria, tabia, na tafsiri ya vyote viwili. Sheria iko wazi: Ni kosa la jinai kujihusisha…