Latest Posts
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (11)
Jogoo wanaowika yalikuwa mayai Mwanzo wa mkeka chane mbili. Hatupaswi kudharau mwanzo wa jambo lolote lile. Usidharau kidogo ulicho nacho. Mambo yote makubwa huanzia madogo. Yesu alianza maisha yake duniani zizini, pangoni na horini. Kwa sasa Yesu Kristo ni kitovu…
‘Tundu la choo’ linamuandama Donald Trump
Mapema mwaka huu Rais Donald Trump wa Marekani alinukuliwa akisema haoni sababu ya kuweka kinga ya kisheria kwa wahamiaji kutoka nchi alizozifananisha na tundu la choo. Alikuwa akizungumzia baadhi ya nchi za Amerika ya Kusini na nchi za Afrika. Tafsiri…
Buriani mwaka 2019, karibu mwaka 2020
Mwaka ni kipindi cha miezi kumi na miwili, kuanzia Januari hadi Desemba, kulingana na kalenda ya Kirumi, na mfunguo nne (muharami) hadi mfunguo tatu kulingana na kalenda ya Kiarabu. Watanzania wanazitumia kalenda hizi zote mbili. Ni kipindi cha siku 364…
Yah: Karibu Mwaka Mpya na yawe mambo mapya
Nakumbuka sana kuhusu andiko langu la kitabu ambalo liko toleo la mbali kidogo, lakini nitakuwa sina fadhila iwapo siku hizi za mwisho wa mwaka na sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo nitajitoa fahamu ya kusahau umuhimu wa kumaliza mwaka na…
Mafanikio katika akili yangu (11)
Katika toleo lililopita sehemu ya kumi tuliishia katika aya isemayo: “Mimi niko tayari,’’ alisema Noel kisha wakasalimiana na profesa. Maisha ya Moscow Noel alianza kuona kuwa ni mazuri, ambayo yangeweza kumfaa katika uandishi wake. Sasa endelea… Meninda akiwa njiani akiendesha…
Liverpool wapewe kombe EPL?
Historia ya Ligi Kuu Uingereza (EPL) inaonyesha kuwa kwa kawaida timu ambayo inakuwa imeshika nafasi ya juu inapofika katikati ya msimu, aghalabu huwa kipindi cha Krismasi na Mwaka Mpya, hiyo ndiyo huwa bingwa mwisho wa msimu. Unaposoma hapa, Liverpool, ambayo…



