JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Marekani yajitoa katika baraza la Umoja wa Mataifa la haki za binaadamu

Marekani imejitoa katika baraza la haki za binaadamu la Umoja wa Mataifa na kulitaja kuwa na ‘unafiki wa kisiasa na lenye upendeleo’. “Taasisi hiyo ya “unafiki na upendeleo inakejeli haki za binaadamu”, amesema mjumbe wa Marekani katika Umoja huo Nikki…

Mwenyekiti CHADEMA Ashambuliwa kwa Mapanga na Mishale

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Mwikatsi wilayani Babati mkoani Manyara, Simon Lala (CHADEMA) ameshambuliwa na kujeruhiwa kwa mishale na mapanga na watu wasiojulikana kwa kile kilichodaiwa kuwa ni mgogoro wa ardhi.     Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara,…

Mwanamuziki XXXTentacion auawa kwa kupigwa risasi Florida, Marekani

Mwanamuziki wa nyimbo za rap Marekani XXXTentacion, ambaye alipata umaarufu kwa haraka kupitia albamu zake mbili ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa na miaka 20. Alikuwa anaondoka kwenye duka la kuuza pikipiki kusini mwa Florida Jumatatu pale mtu mwenye bunduki alipomfyatulia…

‘Spiderman’ aliyemuokoa mtoto Ufaransa arejea kwao Mali

Mhamiaji raia wa Mali Mamoudou Gassama, ambaye alipata umaarufu kote duniani mwezi uliopita wakati alikwea jengo mjini Paris, Ufaransa kumukoa mtoto, amesema amefurahishwa sana kurudi kwao Mali kutembea. “Nina furaha sana. Nina furaha sana sana kwa sababu kila mtu alikuja…