Latest Posts
Wanaoishi kinyemela nchini sasa ni wakati wa kuwabaini
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji anasema jeshi hilo linaendelea na operesheni ya kuwabaini wahamiaji haramu nchini. Anasema tayari kazi hiyo imeonyesha mafanikio makubwa kwani watu wengi walio nchini kinyume cha sheria wameshatiwa mbaroni na kufikishwa mahakamani na wengine kurejeshwa…
Maboresho ya kanuni yatachochea ukuaji wa sekta ya mawasiliano
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Katika kuboresha mazingira ya utoaji huduma za mawasiliano nchini, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imetangaza maboresho ya Kanuni za Miundombinu ya Utangazaji Dijiti na Kanuni za Leseni zinazosimamiwa na Mamlaka ya…
Sonona imegharimu maisha ya Rapa Riky Rick
DAR ES SALAAM Na Christopher Msekena na mitandao Tasnia ya burudani Afrika Kusini bado imo katika simanzi ya kuondokewa na rapa mwenye mafanikio na mshindi wa tuzo mbalimbali, Riky Rick, aliyefariki dunia kwa kujinyonga Jumatano asubuhi ya wiki iliyopita. Riky…
Yaliyojiri mkutano wa EU, AU Ubelgiji
Na Nizar K Visram Wakuu wa nchi za Umoja wa Ulaya (EU) na Umoja wa Afrika (AU) walikutana mjini Brussels, Ubelgiji, Februari 17 na 18, mwaka huu. Viongozi 40 wa nchi na serikali za Afrika na viongozi 27 wa Ulaya…
Ndoa kuvunjika si sababu ya kukosa mgawo wa mali
NA BASHIR YAKUB Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ikiwa mmoja wa wanandoa aliyesababisha ndoa kuvunjika kama anastahili mgawo wa mali. Mfano, mwanamke katika ndoa anaanzisha chokochoko makusudi ili ndoa ivunjike apate mgawo wa mali ili aendelee na maisha yake. Au mwanamume…
Ufaulu Hisabati bado ni tatizo
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Mchakato wa utekelezaji wa sera ya Tanzania ya viwanda unapaswa kuanzia shuleni na vyuoni kwa kuwaandaa wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu. Ni lazima kutekeleza sera hiyo kwa vitendo baada ya mafunzo na…





