JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri , kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi…

MAAMUZI YA KOCHA STARS BAADA YA KUWATOSA WACHEZAJI WA SIMBA

KOCHA wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, M-Cameroon, Emmanuel Amunike, amekutana na wachezaji Simba aliowaondoa kwenye kikosi chake baada ya kuchelewa kuripoti kambini. Baada ya kukutana nao, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo ametoa taarifa kuwa…

Wanafunzi Waandamana Mwenzao Kupigwa na Mwalimu Hadi Kuzirai

WANAFUNZI wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Kalangalala mkoani Geita wameandamana kwenda kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Geita kupinga kitendo kile kinachodaiwa kwamba mwanafunzi mwenzao kupigwa na mwalimu hadi kupoteza fahamu.   Mwanafunzi huyo, Jonathan…

Bobi Wine, Wenzake 30 Kurejeshwa Mahakamani Leo

MBUNGE  na mwanamuziki, Bobi Wine, leo anatarajiwa kurejea mahakamani mjini Gulu, kaskazini mwa Uganda anapokabiliwa na mashtaka ya uhaini. Bobi Wine na washukiwa wegine 32 wanatarajiwa kusomewa mashtaka yao kisha kesi hiyo kuhamishiwa Mahakama Kuu. Mahakama ya mwanzo ya Gulu…

Sheria vyama vya siasa ibadilishwe

Mfumo wa vyama vingi vya siasa hapa nchini ulirejeshwa miongo miwili na nusu iliyopita, katika safari hiyo kumekuwa na malalamiko lakini pia maboresho ili kulinda tunu za taifa na kudumisha mshikamano na umoja wa kitaifa. Agosti mwaka jana Ofisi ya…