JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tanzania inaelekea wapi?

Serikali ya Awamu ya Kwanza chini ya uongozi wa Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ilifanya kazi kubwa ya kutuunganisha Watanzania ambao tunaishi kama ndugu bila chembe yoyote ya ubaguzi. Maisha yetu ya kupendana, kuthaminiana na kuheshimiana bila…

Raila Odinga anakuwa Rais Kenya (4)

Wiki iliyopita makala hii iliishia katika aya iliyosema; (Raila) Odinga mwenyewe na Najib Balala (Waziri wa sasa wa Utalii), waliwakilisha masilahi ya Mkoa wa Pwani, huku Kalonzo na Charity Ngilu wakiwakilisha masilahi ya Ukambani. (William) Ruto (kabla hawajafarakana), aliyekuwa ameuacha…

Mwanamke usipuuze maumivu ya kiuno, mgongo yasiyokoma

Wiki iliyopita nilipokea ujumbe mfupi kwa njia ya simu kutoka kwa Rose (si jina lake halisi), mmoja wa wasomaji wangu wa safu hii ukisema hivi: “Samahani daktari, mwaka mmoja uliopita nilipimwa na kugundulika kuwa nina uvimbe kwenye ovari ya kushoto….

Kucheleweshwa mbolea kulivyoathiri mazao

Wakati Rais John Magufuli akisisitiza mara kadhaa kwamba serikali haitatoa chakula cha msaada kwa watakaokabiliwa na njaa, mikoa ya Nyanda za Juu Kusini mazao yameharibika kutokana na mbolea za kukuzia kutofika kwa wakati kwa wakulima. Rais Magufuli aliendelea kusisitiza kuwa serikali…

Ndugu Rais karibu mezani

Ndugu Rais, Bwana Yesu alipoona saa yake imekaribia aliwaambia wanafunzi wake waandae meza apate kula nao chakula cha mwisho. Angeweza kuwaaga kwa namna nyingine yoyote, lakini aliandaa meza. Namshukuru Mungu kuniwezesha kuingia katika chumba ilipoandaliwa meza kwa ajili ya chakula…

Hauwezi kumfuga mbwa ukamkataza kubweka

Unapomfuga mbwa lazima atabweka tu, kwa sababu kubweka ni moja ya sehemu ya makuzi yake. Mimi ni mbwa niliyefugwa na taifa hili, ni lazima nibweke, siasa si uadui, isipokuwa hoja. Siasa ni sehemu ya maisha ya binadamu. Mwanafalsafa Hegel anasema: “Binadamu…