JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tetesi: Mikel Arteta amekubali kuwa meneja mpya wa Arsenal

Kiungo wa kati wa zamani wa Arsenal na Uhispania Mikel Arteta amekubali kuteuliwa kuwa meneja mpya wa klabu hiyo ya England. (Goal.com) Iwapo Arteta, ambaye kwa sasa ni mkufunzi msaidizi Manchester City ataondoka Etihad na kwenda Emirates, Pep Guardiola anapanga…

WADAU WA AFYA MOJA WAJIPANGA KUIOKOA TANZANIA NA MAGONJWA AMBUKIZI

Dunia imekumwa na tishio kubwa la magonjwa ya kuambukiza yanayoweza kusambaa kwa muda mfupi, kusababisha madhara makubwa kwa binadamu, mifugo, wanyama pori na kuleta uharibifu wa mazingira. Tafiti zinabainisha kuwa kila mwaka huibuka magonjwa ambukizi mapya kati ya matano hadi…

Gazeti la Mwananchi Latakiwa kuomba radhi kwa taarifa kuhusu deni la taifa

Serikali ya Tanzania imesema deni la jumla la taifa liliongezeka kwa Sh trilioni 3 katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Desemba hadi Machi mwaka huu. Serikali hiyo imepuuzilia mbali taarifa zilizochapishwa na gazeti moja nchini humo zilizodai kwamba deni la…

Uwanja wa Taifa DSM, Umechafuka kwa Rangi Nyekundu,Simba Wafurika

MAMBO ni fire katika Uwanja wa Taifa ambapo tayari mashabiki, wapenzi wa soka wameshaanza kuingia uwanjani kushuhudia mtanange kati ya Timu ya Simba na Kagera Sugar huku wafanyabiashara wadogo wadogo nao wanaendelea kuuza jezi za Simba nje ya uwanja huo…