JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Dkt Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPB

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB). Uteuzi wa Dkt. Mndolwa umeanza leo tarehe 23 Aprili, 2018. Dkt….

KUNDI LA YANGA KOMBE LA CAF NI LA VIBONDE TUPU

Kufuatia droo ya timu zitakazokutana katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kufanyika jana, uongozi Yanga wafurahia kupangwa na timu za ukanda wa Afrika Mashariki. Ukiachana na USM Alger inayotokea Algeria, Yanga imepangwa na timu za Rayon Sports…

MBEY CITY YAIPANIA YANGA LEO

Uongozi wa Mbeya City umesema tayari umeshajiandaa vizuri kuelekea mchezo wa leo wa ligi dhidi ya Yanga utakaopigwa Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Yanga imewasili mjini humo jana ikiwa ina kibarua leo dhidi ya wenyeji wao Mbeya City, na ikiwa…

NEEMA IMEANZA KUMFUNGUKIA MBWANA SAMATTA

Neema imezidi kumfungikia mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga katika Klabu ya KRC Genk ya Ubelegiji baada ya klabu tatu za England kumuwania.   Samatta aliyewahi kuichezea TP Mazembe ya DR Congo alijiunga na Genk mwaka 2015 baada ya mkataba wake…

Maandalizi ya ibada ya kuaga mwili wa

Mwili wa Msanii Agnes ‘Masogange’ Gerald unaagwa leo katika viwanja wa Leaders Club jijini na Dar es Salaam, na baada ya hapo utasafirishwa kwenye nyumbani kwao jijini Mbeya kwa ajili ya maziko. Katika viwanja hivyo, watu mbalimbali wakiwemo wasanii wenzake,…