JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Bila kupitiwa mikataba …

Pamoja na kumpongeza Rais John Magufuli kwa uthubutu na uzalendo wake kwa Watanzania anaofanya katika maeneo mbalimbali, bila kupitiwa upya kwa mikataba yote bado hatutakuwa na jipya. Hali ya umaskini wa Watanzania baada ya utawala wa awamu ya kwanza imechangiwa…

Wanaobakwa wahurumiwe

Hivi karibuni Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo kuwa chini ya uongozi wake mwanafunzi yeyote atakayepata mimba akiwa shuleni; shule za msingi na sekondari atafukuzwa shule. Rais Magufuli amesema wazi kuwa watakaohusika kuwapa mimba watoto nao watafungwa kwa mujibu wa…

TMF yaipa ruzuku JAMHURI

Wakufu wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF) umelipatia Gazeti la JAMHURI Ruzuku ya Mabadiliko (Transformation Grant) kwa ajili ya kufuatilia habari za uchunguzi. Gazeti la JAMHURI, limepata fursa ya kupewa ruzuku sambamba na gazeti jingine la Mwanahalisi, na redio nne…

Kodi za majengo, mimba za utotoni

Kwa muda wa wiki mbili sasa sijaandika katika safu hii. Nimepata simu nyingi, na ujumbe mfupi, wengi wa wasomaji wangu wakidhani kuna maswahibu yamenisibu. Nawahakikishia niko salama bin salimin na buheri wa afya. Sikuweza kuandika katika kipindi cha wiki mbili…

Atafuna mamilioni ya kijiji

Wananchi wa Kijiji cha Sango, Kata ya Kimochi, Wilaya ya Moshi Vijijini, wamepoteza mapato yanayofikia Sh milioni 60 katika kipindi cha miaka mitatu kutokana na fedha hizo kuliwa na Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho. Wananchi hao wamelieleza JAMHURI kuwa fedha…

Ndugu Rais ‘walidhani nitakuwa nao’ tumaini lililorejea

Ndugu Rais, kama kuna wakati uligusa mioyo ya Watanzania na hasa masikini, ni pale uliposema, “Walidhani nitakuwa pamoja nao!” Kama hii ilikuwa ni ahadi, basi ni ahadi iliyotoka juu! Nina hakika hii haimo katika ilani ya chama chako. Kwa ahadi…