Latest Posts
Reli mpya ya SGR nchini Kenya iliofadhiliwa na China yasababisha hasara ya $100m
Mradi wa reli mpya ya kisasa nchini Kenya SGR umesababisha hasara ya $100m (£76m) katika kipindi cha mwaka wa kwanza wa operesheni zake , kulingana na wizara ya uchukuzi nchini humo. Mradi huo uliofadhiliwa na serikali ya China ambao unaunganisha…
Uturuki yaondoa hali ya hatari
Vyombo vya habari vya taifa nchini Uturuki vimetangaza kwamba serikali imeondoa hali ya hatari iliyowekwa nchini humo kufuatia mapinduzi yaliyoshindwa miaka miwili iliyopita. Katika kipindi hicho makumi kwa maelfu ya watu walikamatwa na kushikiliwa bila ya kufunguliwa mashtaka chini ya…
Yanga Sc Dimbani Leo Dhidi ya Gor Mahia ya Kenya
Yanga Sc leo inashuka dimbani kupambana na Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa majira ya saa moja jioni jijini Nairobi, Kenya Tutarajie matokeo ya aina gani kwenye…
Tarime wazidi kuumana
DC, Mwenyekiti CCM Mkoa hapatoshi Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa yaketi TARIME NA MWANDISHI WETU Hali si shwari kati ya Mkuu wa Wilaya (DC) ya Tarime mkoani Mara, Glorious Luoga, na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara,…





