Latest Posts
Chozi la damu
Siku 10 baada ya kutokea ajali iliyokatisha ndoto za wanafunzi 32, walimu wawili na dereva wa Shule ya St. Lucky Vincent, JAMHURI limefanya uchunguzi wa kina kuhusu ajali hiyo na kubaini mambo ya kutisha. Mmoja wa madereva wakongwe wa shule…
Ugaidi waifilisi Benki FBME
Kufungwa kwa benki ya FBME, hapa nchini, kumetokana na tuhuma za benki hiyo kutakatisha fedha na kupitisha fedha za kufadhili ugaidi ambazo zimekuwa zikipitishiwa kwenye matawi yake ya Nicosia, Cyprus na Makao Makuu ya benki hiyo, Dar es Salaam, JAMHURI…
Wizara ya Elimu ijitathmini suala la vitabu vya kiada na ziada
Wakati Serikali ikiendelea kutekeleza mpango wa elimu bure kuanzia awali mpaka kidato cha nne, mradi ambao unaigharimu serikali takribani Sh bilioni 19 kila mwezi, imebainika vitabu vya kiada na ziada zinavyosambazwa na serikali vimejaa makosa. Tayari wizara hiyo imeshasambaza…
Ni muhimu sana kujali tunavyoyatekeleza malengo yetu
Ndugu Rais, haiwezekani kila jambo linalofanywa na Serikali liwe ni jambo baya au halifai! Kwamba Serikali isiwe hata na jema moja inalolifanya? Haiwezekani! Swali muhimu hapa ni kwanini Serikali wakati mwingine inajifikisha mahali mpaka kuonekana hivyo kwa baadhi ya wananchi?…
Rais Magufuli muulize Mkapa kodi
Leo naandika makala hii baada ya Taifa kuwa limepata mapigo makubwa mawili. Pigo la kwanza ni vifo vya wanafunzi 32 wa Shule ya Msingi St. Lucky Vincent, walimu wawili na dereva mmoja. Sina hakika siku ya mazishi ya kitaifa ya…
Wananchi wampinga mwekezaji
Kumeibuka mgogoro wa ardhi, Wilaya ya Tarime, mkoani Mara kati ya uongozi wa wilaya hiyo na wakazi wa Kijiji cha Bisarwi, kudai kuwa wanataka kupokonywa mashamba yao na kupewa mwekezaji kwa ajili ya kilimo cha miwa na kujenga kiwanda cha sukari….