JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Chombo cha Satelaiti kilichoundwa Kenya kitarushwa katika anga za juu leo kutoka Japan

Wanasayansi wa anga za juu kutoka Kenya waliokiunda chombo hicho tayari wako katika makao ya Uchunguzi wa Sayansi ya Anga za juu nchini Japan, (JAXA) ambapo chombo hicho kitarushwa kutoka huko. Nchini Kenya kwenyewe raia wataweza kufuatilia shughuli hiyo moja…

MAJALIWA:TUPO TAYARI KWA FAINALI ZA AFCON 2019

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo tayari kwa maandaalizi  ya fainali za michuano ya Afrika ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 mwaka 2019.   Mashindano ya mpira wa miguu kwa Vijana wenye umri wa chini ya  miaka 17 AFCON…

SERIKALI YAKUSUDIA KUTAFUTA MBIA MWINGINE MRADI WA UDART

SERIKALI imesema inakusudia kuongeza mtoa huduma mwingine katika uendeshaji wa  Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) ambayeataingiza mabasi yake na kutathmini ufanisi wa mbia wa sasa ili kuimarisha huduma ya usafiri Jijini Dar es salaam .   Amesema iwapo itabainika kwamba mwendeshaji…

SIMBA YABEBA KOMBA WAKIWA KWENYE VITI WAKIKUNYA NNE, BAADA YA YANGA KUFUNGWA 2-0 NA PRISONS

Simba wanakabidhiwa ubingwa wakiwa mjini Singida hata kabla ya kuivaa Singida katika mechi yao ya Ligi Kuu Bara, keshokutwa Jumamosi. Hii inatokana na waliokuwa mabingwa watetezi, Yanga kufungwa kwa mabao 2-0 dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya….