JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mgogoro Makao Makuu ya Wilaya ya Ilongero

Kwa kipindi cha wiki tatu kumekuwa na vuguvugu la mgogoro kuhusu Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Ilongero). Mgogoro huu unahusu hasa wapi yajengwe Makao Makuu ya Wilaya ya Ilongero. Uliibuka kuanzia tarehe Oktoba 28, 2016 baada ya…

Ndugu Rais, Arusha kunani?

Ndugu Rais, kumekuwa na mfululizo wa habari zisizoisha kuhusu ujambazi na majambazi katika misitu ya pori la Vikindu. Vikindu kama ilivyo Mkuranga yenyewe ambayo ni wilaya mojawapo katika Mkoa wa Pwani, kwa kweli ni Dar es Salaam. Karibu kabisa na…

Ndugu Rais, Arusha kunani?

N dugu Rais, kumekuwa na mfululizo wa habari zisizoisha kuhusu ujambazi na majambazi katika misitu ya pori la Vikindu. Vikindu kama ilivyo Mkuranga yenyewe ambayo ni wilaya mojawapo katika Mkoa wa Pwani, kwa kweli ni Dar es Salaam. Karibu kabisa…

Je, Waafrika watarajie nini kutoka kwa Trump?

Uchaguzi umemalizika nchini Marekani; na Donald Trump ametangazwa kuwa mshindi. Huu ni uchaguzi ambao ulisusiwa na asilimia 43 ya wananchi ambao inaelekea hawakuwa na muda au hawakutaka kupoteza muda wao. Trump ametangazwa kushinda ingawa amepata kura  61,166,063; wakati mpinzani wake,…

Tanzania kuna demokrasia gani? (3)

Profesa Ibrahim Lipumba alikaa chini akatafakari akaamua kubwaga manyanga, akaandika barua ya kjiuzulu uenyekiti wa CUF. Angebakia na msimamo wake huo huo – ndio kanuni za uungwana – “stick to you words”. Ghafla anasema hee jamani eee mie bado nautaka…

Nampongeza Waziri Mkuu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshatimiza mwaka mmoja tangu ashike wadhifa huo. Ukimtazama usoni, unamuona Majaliwa tofauti na yule aliyeonekana siku jina lake likisomwa bungeni Dodoma kushika wadhifa huo. Huyu ni Majaliwa aliyejaa msongo wa kazi nyingi alizokubali kuzibeba kwa ajili…