JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Takukuru wachunguza Saccos Moshi

Ufisadi wa zaidi ya Sh bilioni 6 katika Chama Cha Akiba na Mikopo (Wazalendo Saccos) mkoani Kilimanjaro, umeendelea kuibua mapya kwa utoaji wa mikopo kwa watu ambao si wanachama wakiwamo marehemu. Wizi wa fedha zilizokopwa kutoka taasisi mbalimbali za fedha…

Meneja Benki ya Ushirika K’njaro mikononi mwa Takukuru

Sakata la mikopo ya wajasiriamali 4,200 katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, limechukua sura mpya baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) kumkamata na kumhoji Meneja Mkuu wa Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL), Elizabert Makwabe. Hatua…

Hongera Magufuli, ila sukari, matrafiki…

Wiki iliyopita nilipata fursa ya kuzungumza na mtu mmoja mzito. Mazungumzo yetu yalikuwa ni kwa maslahi ya Taifa. Tulizungumzia ustawi wa Taifa letu na mwelekeo wa nchi chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli. Mazungumzo yetu yalijaa nia njema,…

Ni vyema Serikali ikajitazama upya

Mwanzoni mwa mwaka jana wakati Watanzania walipokuwa wakisubiri uchaguzi, baadhi ya watu walizungumzia sifa za Rais Watanzania waliokuwa wakimuhitaji. Sifa ya kwanza iliyotajwa ni kuwa Watanzania walikuwa wanamuhitaji Rais dikteta yaani mwamrishaji. Waliotoa maoni hayo walidai kuwa nchi imefikia mahali…

ATC wapewe mkataba wa Swissport

Air Tanzania ndilo  Shirika  la  Ndege  la  Taifa  (national flag  carrier)  ambalo linastahili  kumiliki  huduma  zote  muhimu  katika  Viwanja vya Ndege  vyote vya  Tanzania, lakini hali iko kinyume. Huduma zinazotolewa katika viwanja vya ndege ni pamoja na miziggo (Cargo  handling),…

Majangili yateketeza Hifadhi

Athari za kupunguza maeneo ya Hifadhi Mchanganuo wa faida za maeneo yaliyohifadhiwa na zile za ufugaji yanaonesha wazi kuwa hifadhi ya maliasili ni sekta muhimu, pana na mtambuka.  Sekta hii ndio msingi wa kuwapo kwa maendeleo ya sekta nyingine nyingi…