Latest Posts
Kikwete awakoroga wagombea urais
KAULI mbili zilizotolewa na Rais Jakaya Kikwete juu ya kushika wadhifa huo mkubwa nchini, zimewachanganya baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotangaza na wale wanaotajwa kuwania kumrithi.
Putin anakuja Tanzania
LICHA ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kusuasua kuthibitisha kuhusu ujio wa Rais wa Russia, Vladimir Putin taarifa za uhakika zinasema kwamba mwamba huyo wa kimataifa atatua nchini Februari, mwakani.
Nyalandu aichongea Ikulu kwa Marekani
*Aona Pinda hana msaada, awatafuta TAHOA
*Alalama wenzake serikalini wanamhujumu
Na Mwandishi Maalumu
Obama anataka niwe Rais Tanzania-Waziri
*Wabunge wakataa ‘hongo’ ya safari ughaibuni aliyowaahidi
*Ripoti aliyowasilisha yatupwa, wasema imejaa ubabaishaji
*Msanii aliyekuwa Marekani na Nyalandu, Aunty Ezekiel anena
Hivi kweli Kaburu ni kirusi Simba, soka la Tanzania?
KWENYE wallet (pochi ya kutunzia fedha) ya kada wa klabu ya Yanga, Sudi ‘Tall’ Hussein pamoja na kuchukua mambo mengine ndani yake kuna kipande cha gazeti la michezo la MWANAspoti.
Werrason alivyokonga mashabiki wa muziki
Werrason Dima Makanda ni mmoja wa wanamuziki wa Kongo wenye washabiki wengi sana hapa nchini na Afrika kama si duniani kiujumla.
Habari mpya
- IPI yawateua wabunge 320 kuwaletea maendeleo wananchi
- Naibu Waziri aipongeza CBE kwa machapisho 148 ya kitaaluma
- Waziri Mkuu akagua mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta
- Kocha Gamondi rasmi kuinoa Stars
- Daraja la mto Pangani ni kichocheo cha uchumi – Dk Mwigulu
- Waziri Mkuu aridhishwa ujenzi daraja la Pangani
- JAB yajipanga kuendelea kutoa mafunzo kwa waandishi, wamiliki wa vyombo vya habari
- Waziri Mkuu Dk Mwigulu atembelea ofisi za CCM Tanga
- Simanjiro yapitisha bilioni 45/- mpango wa bajeti 2026/2027
- RITA yatoa mafunzo ya usimamizi wa mirathi, utatuzi wa migogoro kwa viongozi, wazee wa kimila
- TRC yaokoa bilioni 12.9 kila mwaka, Bunge lapongeza
- Rais Dk Samia azungumza na Waziri Mkuu wa Ethiopia
- Ofisi ya Msajili wa Hazina yahitimisha semina ya siku tano kwa kamati za bunge
- Waandishi wa habari Afrika wajengewa uwezo kuripoti mabadiliko ya tabianchi
- Chalamila arejesha fedha za aliyetalipwa kiwanja Wazo
Copyright 2025
Designed by
JamhuriMedia