Latest Posts
Madiwani wamliza mbunge
Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale, mkoani Geita, Hussein Amar Kasu, amejikuta akipigwa na butwaa baada ya mtu aliyemwandaa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri, John Isack John, kushindwa. John, Diwani wa Kata ya Kafita, aliandaliwa mazingira ya ushindi ambapo madiwani 14 kati…
Kashfa ya ufisadi bosi Uhamiaji
Idara ya uhamiaji inafukuta, baada ya uwepo wa taarifa za ununuzi wa kiwanja cha ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya askari wa taasisi hiyo kilichonunuliwa mkoani Mbeya hivi karibuni. Vyanzo vya habari kutoka katika jeshi hilo vimedokeza kuwa viongozi wa…
‘Unga’ wasambaratisha polisi
Wiki moja tu baada ya JAMHURI kuchapisha orodha ya wauzaji na wasafirishaji wa dawa za kulevya, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanya uhamisho kwa askari wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni na Mkoa wa Tanga. Habari za uhakika…
Profesa Shivji auonavyo uongozi wa Rais Magufuli
Profesa Issa Shivji, hivi karibuni alihojiwa na Kituo cha Televisheni cha Azam, kuhusu siku 50 za uongozi wa Rais John Magufuli. Ufuatao ni mtazamo na ushauri wake kwa Serikali ya Awamu ya Tano Ni kweli kwamba ni siku 50…
Rafiki yangu Zitto, tunajifunza nini kwa Dk. Kabourou?
Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe, awali ya yote naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuwa hai na kuandika makala hii, pili kushuhudia wewe ukiwa Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kwani sikutarajia kuwa ipo siku utakuwa mwakilishi wa wananchi wa mji…
Hitler na ndoto za kutawala dunia
Kiongozi wa Chama cha Kisoshalisti kilichojulikana kama ‘NAZI’, Adolf Hitler (1889-1945) alikuwa mmoja wa madikteta dhalimu na wenye nguvu kuwahi kutokea katika karne ya 20. Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia mbabe huyo aliamka kwa nguvu kupitia chama…