Latest Posts
Maji bado ni tatizo sugu
*Wananchi wanakunywa maji na ng’ombe visimani Na Clement Magembe, Handeni Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, wamesema tatizo la maji limezidi kuwa sugu huku baadhi ya maeneo yakipata maji iwapo viongozi wa kitaifa wanapofanya ziara zao wilayani humo,…
Rais safi inawezekana, tutimize wajibu
Mwaka 2015 una mshindo mkubwa kwa Watanzania, mshindo unaotokana na matendo matatu muhimu yanayowaweka wananchi katika hekaheka na fukuto la moyo.
Nini ufanye ukihisi mwenza wako anataka kuuza nyumba, kiwanja?
Upo wakati katika ndoa ambako mmojawapo anaweza akawa anataka kuuza au kubadili jina la nyumba/kiwanja bila ridhaa ya mwenzake ilhali nyumba hiyo ni ya familia. Lakini pia nje ya hilo, kuna mazingira ambayo mtu anaweza kuwa si mwanandoa, lakini ana…
Yah: Na mimi nataka ukuu wa wilaya siku moja?
NA BARUA YA S.L.P. Mzee Zuzu, C/O Duka la Kijiji Kipatimo, S.L.P. Private, Maneromango. Mtanzania Mwenzangu, Yahoo.com/hotmail.com/excite.com/www.http, Tanzania Yetu. Kuna tetesi kwamba ukuu wa wilaya unagawiwa kama njugu na wanaosema hivyo labda wana taarifa kamili juu…
Kiwanda cha Sukari chafutwa uwekezaji
Wimbi la uingizwaji wa sukari nchini kwa njia ya magendo limeleta athari kubwa kwa viwanda vya ndani na baadhi yao sasa vimeanza kupunguza wafanyakazi pamoja kufuta baadhi ya mipango yake ya uwekezaji ya muda mrefu.
Mwaka mwingine wa kumkumbuka Mwalimu Nyerere
Katika sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, amenukuliwa akiwasihi wanachama wenzake kuhimiza kujitokeza mgombea atakayeiletea CCM ushindi kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.