Latest Posts
Wabunge msiwaangushe wapigakura wenu
Bunge la Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2013/2014 linaanza leo mjini Dodoma, huku Watanzania wakitarajia kuona na kusikia wabunge wao wakipitisha bajeti inayojibu matatizo yanayowakabili.
Mvutano uchinjaji Mbeya
Hivi karibuni kumezuka vurugu baina ya Wakristo na Waislamu katika mji wa Tunduma mkoani Mbeya, wakigombea uchinjaji mifugo ingawa siku zote Waislamu ndiyo wamekuwa wakitekeleza jukumu hilo.
India yakubaliwa kuchimba dhahabu, almasi Tanzania
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la Serikali ya India, la kutaka kuwekeza katika sekta ya nishati na madini nchini.
Udokozi bandarini ukomeshwe
Bandari ya Dar es Salaam ni mashuhuri katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Bandari hii, kwa muda mrefu, imekuwa kitovu cha biashara kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki na Kati zisizokuwa na bandari (land locked).
Kuchinja si tatizo, tatizo ni udini
Wiki hii nimelazimika kuandika tena mada hii. Nimeiandika mada hii baada ya kuona moto unazidi kusambaa nchi nzima. Tatizo lilianzia Kanda ya Ziwa kwenye mikoa ya Mwanza na Geita, likaenda Shinyanga, lakini sasa limehamia Tunduma.
Kwimba walilia maji safi
Mbunge wa Kwimba, Shanif Hirani Mansoor (CCM), amesema ameshaanza kushughulikia ujenzi wa mabwawa ya maji katika kata kadhaa jimboni humo.
- Salome : Wananchi milioni 1.7 kunufaika na umeme kila mwaka kupitia ushirikiano wa TANESCO na CRDB
- EWURA yakutanisha wadau kujadili usalama na uendelezaji sekta ya gesi asilia
- Dk. Chaya atembelea uwekezaji kiwanda cha kuchakata maziwa cha ASAS Iringa
- Tanzania yajivunia kupunguza vifo vya mama na watoto, yalenga mafanikio zaidi ifikapo 2030
- Wananchi Mbeya wafurahia kurejea kwa huduma ya umeme
Habari mpya
- Salome : Wananchi milioni 1.7 kunufaika na umeme kila mwaka kupitia ushirikiano wa TANESCO na CRDB
- EWURA yakutanisha wadau kujadili usalama na uendelezaji sekta ya gesi asilia
- Dk. Chaya atembelea uwekezaji kiwanda cha kuchakata maziwa cha ASAS Iringa
- Tanzania yajivunia kupunguza vifo vya mama na watoto, yalenga mafanikio zaidi ifikapo 2030
- Wananchi Mbeya wafurahia kurejea kwa huduma ya umeme
- PURA yaokoa bilioni 8.86/- kupitia usimamizi wa mafuta na gesi
- EWURA Kupitia upya bei za CNG
- Kafulila: Umwagiliaji unahitaji dola bilioni 20, Serikali pekee yake haiwezi
- Kafulila : Tanzania inahitaji kujiandaa na ongezeko la watu milioni 123 ifikapo 2044
- Waziri Homera atangaza kurejea kwa umeme Mbeya na Songwe
- Wizara ya Maendeleo ya Jamii kupambana na vitendo vya kikatili kupitia mradi wa PAMOJA Z’bar
- Tanzania yaweka msisitizo matumizi ya gesi asilia na makaa mawe COP 31
- Tabasamu la wahariri Ngorongoro
- Mafunzo na ujuzi bandari vyatizamwa kuelekea Dira 2050
- Waziri Mkuu aridhishwa na juhudi za WHI katika sekta ya makazi