Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Silaa akipokea maelezo kutoka kwa mkandarasi mshauri kuhusu uwekaji wa mabomba ya maji katika kata za Pugu na Buyun, alipofanya ziara kuitembelea miradi hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Silaa akipokea maelezo kutoka kwa mkandarasi mshauri kuhusu uwekaji wa mabomba ili kuweza kuhudumia maji katika Kata za Pugu na Buyuni na maeneo ya hospitali ya Nguvu Kazi leo tarehe 22/10/2022, alipofanya ziara kuitembelea miradi hiyo.Mpigapicha Wetu
Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Silaa akitoa maelekezo kwa mkandarasi mshauri kuhusu uwekaji wa mabomba ili kuweza kuhudumia maji katika Kata za Pugu na Buyuni na maeneo ya hospitali ya Nguvu Kazi leo tarehe 22/10/2022.

By Jamhuri