Rais Mwinyi akutana na viongozi wa bima

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania Dk.Baghayo Saqware (wa pili kuli) wakati wa mazungumzo na ujumbe aliofuatana nao leo wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar .Picha zote na Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea kitabu cha muongozo wa mamlaka ya usimamizi wa Bima Tanzania kutoka kwa Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania Dk.Baghayo Saqware, wakati wa mazungumzo na ujumbe uliouongoza wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya Mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na ujumbe ulioongozwa na Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania Dk.Baghayo Saqware (wa tano kushoto) wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.