Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Wanafamilia ya Marehemu Bi.Khadija Abbas (aliyechanya udongo katika Muungano wa Tanganyika na Zanzibar) leo  alipofika  kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Marehemu huyo Rahaleo Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 01/09/2023 .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kushoto) kwa pamoja na  Wanafamilia ya Marehemu Bi.Khadija Abbas (aliyechanya udongo katika Muungano wa Tanganyika na Zanzibar) wakiitikia dua iliyoombwa leo  alipofika  nyumbani kwa Marehemu huyo Rahaleo Mjini Zanzibar kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa Wanafamilia hao.[Picha na Ikulu] 01/09/2023 .